Sunday, February 1, 2015
PARK YOUR CAR BY USING ROBOTS
Nchini Germany wamegundua njia mpya ya kupaki magari yao kwenye maeneo maalumu kama vile, Airport kwa kutumia mitambo. Mitambo hiyo hufanya kazi baada ya watu waliokuwa kwenye gari kushuka na kwenda kuconfirm kwenye App iliyokuwa kwenye SCREEN TOUCH DISPLAY maeneo walipopaki gari. Hivyo baada ya kuconfirm kwenye App hiyo, roboti litaanza kujisogeza mpaka kwenye gari waliloliconfirm na kulianza kulibeba na kulipeleka sehemu husika ya parking bila kukosea.
Labels:
Technology
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment