Sunday, February 1, 2015

CHAMA CHA MAPINDUZI CHATIMIZA MIAKA 38

Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kinatimiza miaka 38 tangu kuanzishwa kwake February, 1977. Mgeni rasmi wa sherehe hiyo ya kutimiza miaka 38 ya chama hicho ni, mwenyekiti wa CCM ndugu, Jakaya Mrisho Kikwete. Pia kwenye sherehe hizo kuna burudani mbalimbali kutoka kwa John Komba na Diamond.

No comments:

Post a Comment