Zifuatazo ni hatua za kuanzisha biashara:
1) Fikiria ni biashara ya aina gani unayotaka kufanya.
2) Tafuta mtaji utakaoweza kuanzisha biashara yako.
3) Tafuta sehemu ambayo itaendana na biashara unayotaka kufanya.
4) Weka bidhaa zako kwenye hiyo sehemu uliyoipata inayoendana na biashara yako.
5) Tafuta jinsi ya kuweza kuitangaza biashara yako ili uweze kupata wateja tofauti tofauti kutoka sehemu mbalimbali.
6) Tumia lugha nzuri kwa wateja ili wawe wanakusimulia simulia kwa watu pindi waulizwapo kuhusu biashara yako.
7) Kuwa mcheshi na wateja, utani utani kwa mbaliiiii ili wasikuzoee sana kwenye biashara.
No comments:
Post a Comment