1) Husababisha mishipa ya kichwani kupasuka.
2) Pia huweza kusababisha kifo.
3) Husababisha mtu kutoa makamasi yenye damu kutokana na mishipa ya kichwani kupasuka.
N:B Si vizuri kuzuia chafya, pindi upatapo chafya tafadhali iache chafya ichukue nafasi yake kwani ukiizua utapa athari nyingi zaidi ya hizo.
#Asante!!!
No comments:
Post a Comment