Polisi mkoani Kagera inachunguza kifo cha mmiliki wa ukumbi wa Club ya usiku ya Linas Night, Leonard Mtensa (50) ambaye inadaiwa alifariki dunia wakati akifanya mapenzi ndani ya gari lake.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe alisema Mtensa, alikuwa na mpenzi wake anayetokea mkoani Mara na kwamba tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia juzi.
No comments:
Post a Comment