Monday, February 23, 2015

KASPERSKY YATOA TAARIFA KUHUSU BAADHI ZA BENKI DUNIANI, TANZANIA NAYO IKIWEMO

Kampuni ya Kirusi ya Kaspersky imetoa taarifa kuhusiana na usalama wa Atm kwenye baadhi za benki ulimwenguni. Kwenye taarifa hiyo, kwenye nchi zilizotajwa Tanzania nayo ni moja wapo. Taarifa ya Kaspersky inasema kwamba Atm nyingi hazina usalama hivyo mahacker wengi wanaweza kuzihaki na kuwapatia hasara benki hizo.
Pia kaspersky imewashauri wamiliki wa benki kuwa watumie bidhaa yao ambayo itakuwa sokoni hivi karibuni, bidhaa hiyo itaweza kupigana na mahacker wote na wengineo wanaochezea ATM machines. Kaspersky ndo atakuwa mlinzi wa Atm machine kwa program yake atakayo itoa hivi karibuni kwa ajili ya mambo ya kifedha.

No comments:

Post a Comment