Monday, February 23, 2015

MOSE BUSHAGAMA (MEZ B) KUZIKWA LEO JIJINI DODOMA

Mwili wa marehemu Mez B utapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele huko mjini Dodoma kwenye makaburi ya WAHANGA yaliopo Maili mbili mjini Dodoma. Marehemu Mez B anapewa heshima yake ya mwisho kwenye uwanja wa Mashujaa.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amen.

No comments:

Post a Comment