Monday, November 3, 2014

WATU SITA (6) WAFARIKI NA WENGINE KADHAA WAJERUJIWA

Watu sita wamefariki na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya kuwepo na mapigano kati ya wanajeshi wa Kenya na na genge la watu wanobeba silaha kwenye kaunti mjini Mombasa nchini Kenya.

Taarifa ya jeshi la nchini Kenya inasema kwamba, kwenye mapigano hayo mwanajeshi mmoja amejuruhiwa wakati wa mashambulizi. Hata hivyo jeshi la nchini Kenya limekataa kutoa utambulisho wa watu waliofariki kwenye mapigano hayo mjini Mombasa nchini Kenya.

Hata hivyo shambulio hili limetokea ikiwa siku moja imepita baada ya genge la majangili kuwaua askari polisi wa utawala (20) kwenye kaunta ya Turkana, kaskazini mwa Kenya.

No comments:

Post a Comment