Monday, November 3, 2014

MWANZILISHI WA MTANDAO WA TORRENT ATUPWA JELA MIAKA SITA (6)

Mwanzilishi wa mtandao wa Torrent Pirate Bay ndg Gittfrid Warg, amehukumiwa kifungo cha miaka sita (6) jela baada ya kufanya uvamizi (hacking) kwenye computer za Technology Services Giant CSC akiwa msaidizi wake. Imedhibitika kwamba wakati wa uvamizi (hacking), walifanikiwa kupakua stakabadhi za usalama wa kijamii kutoka kwenye computer hizo.

No comments:

Post a Comment