Tuesday, November 4, 2014

JE,WAJUA MATATIZO YA KUKATA KUCHA ZAKO MARA KWA MARA?

Mtaalam mmoja wa afya nchini America, alitoa taarifa ambayo aliikuwa anaifanyia utafiti kwa kipindi kirefu. Mtaalam huyo alibainisha kuwa ukataji wa mara kwa mara wa kucha huzidi kusababisha magonjwa mwilini kwa sababu:
1) Unapokuwa unakata kucha mara kwa mara husababisha bacteria wa magonjwa kupenya kwenye ngozi ya ndani ambayo ni laini pindi ukatavyo kicha.

Magonjwa mengi ya binadamu huanzia kwenye nyayo hasa kwa wale wanaotembea pekupeku kwa huwa wanakanyaga vitu vingi vichafu ambavyo husababisha bacteria wake kupenya kwa urahisi kwenye kucha za miguu na pia kama, mtu ulikuwa umeshakata kucha halafu ukashika uchafu ambao una bacteria bhas ujue kwamba, hapo bacteria wameingia ndani ya mwili wake na kwenda kusababisha ugonjwa.

N:B.
  Ukataji wa kucha wa mara kwa mara ni hatari kwa afya yako.

No comments:

Post a Comment