Kitaalam juice yenye mchanganyiko wa maparachichi, karoti, mapapai, makarakara kwa mbali, itakusaidia kufanya ngozi yako kuwa laini, safi isiyo na chunusi na wala kuwa na mikunjo yoyote ile.
Tumia juice yenye mchanganyiko huo hasa lakini kuwe na karoti na parachichi kwani matunda haya ya mafuta mafuta yatakayofanya ngozi yako isikauke na iwe inang'aa muda wote hata ukiwa hujapaka mafuta ya ngozi.
Faida nyingine ya matunda haya ni, kulainisha choo pindi uendapo msalani utakuwa unapata haja bila ya shida yoyote.
Penda afya yako, penda kunywa jiuce zenye mchanganyiko wa matunda mbalimbali ili mwili wako uwe poa.
No comments:
Post a Comment