Ofisi ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) imemaliza kazi maalum ya kukagua hesabu kwenye mamlaka ya bandari nchini Tanzania (TPA).
Ripoti iliyotolewa na ofisi ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikari (CAG) inasema kwamba mwaka jana mamlaka ya bandari nchini ilitumia shilingi bilioni 9.6 kwa ajili ya shughuli za mikutano, shilingi bilioni 9.4 kwa ajili ya matangazo na shilingi bilioni 10 kwa ajili ya safari.
Hiyo ndo ripoti iliyotolewa ya kazi maalum ya kukagua mamlaka ya bandari nchini Tanzania (TPA).
No comments:
Post a Comment