Jeshi la wanamaji nchini Tanzania limekamata jahazi lililotoka nchini Iran kwa kudaiwa kuwa na shehena za madawa ya kulevya.
Mkuu wa kikosi cha wanamaji amesema jahazi hilo walilikamata jana baada ya baadhi ya wavuvi kuwa na hofu hofu ya jahazi hilo, hivyo wakaamua kutoa taarifa kwa jeshi la wanamaji, hivyo nao wakafuatilia na kulikamata jahazi hilo ambalo linasadikiwa kuwa na madawa ya kulevya.
No comments:
Post a Comment