Saturday, November 1, 2014

Lava iliyolipuka Hawaii

Lava iliyolipuka Hawaii (United State US) bado inaendelea na kufata makazi ya watu. Lava hiyo kwa sasa imeshaharibu miundo mbinu mingi sana katika jimbo hilo la Hawaii huko nchini Marekani.
Lava hiyo imeshaharibu barabara mbalimbali, baadhi ya nyumba zimeunguzwa so lava imesababisha baadhi ya familia kukosa makazi kwa muda, pia lava imeshaunguza msitu uliokuwa kwenye njia yake.

No comments:

Post a Comment