Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Apple company Tim Cook, amestaajabisha ulimwengu baada ya kusema kwamba anaona fahari kuwa shoga kwani ni kipaji maalum alichojaliwa na mungu. Kampuni ya Apple ni kampuni inayofanya vizuri ulimwenguni kwa kutengeneza vitu vikali vinavyodumu ambavyo ni Iphone, Ipad na Macbook.
No comments:
Post a Comment