Jeshi la polisi mkoani Mwanza linamshikiria askari wake WP Fatuma wa kituo cha Igogo wilayani Nyamagana kwa kosa la kumjeruhi msaidizi wake wa ndani Steven Maggessa mwenye umri wa kumi na nane (18), kwa kumkata vidole vinne (4) vya mkono wa kulia baada ya kumsingizia kuwa amemuibia deki ya video nyumbani kwake.
Kwa maelezo ya mjeruhiwa huyo Steven Maggessa amesema kwamba ni mara nyingi tuu huwa anamsingizia kuwa anamuibia vitu vyake vya nyumbani hivyo leo ndo akaamua kumkata vidole vinne vya mkono wa kulia na panga.
No comments:
Post a Comment