Sunday, November 2, 2014

VURUGU KUBWA YATOKEA KWENYE MKUTANO WA MAONI YA KATIBA

Vurugu kubwa imetokea leo ukumbi wa Ubungo Plaza kulikokuwa na mkutano wa maoni kuhusu katiba mpya iliyopendekezwa na bunge maalum la katiba. Vurugu hizo zilianza kipindi jaji Warioba alipokuwa akiendelea kuchanganua vipengele vya katiba mpya ndipo baadhi ya vijana ndo wakaanzisha vurugu iliyochangia shughuli hiyo ya maoni ya katiba kusimamishwa.

Hayo ndiyo yaliyojili siku ya leo pale kwenye kumbi ya mikutano Ubungo Plaza.

No comments:

Post a Comment