Wednesday, November 12, 2014

PICHA ZAIDI ZA AJALI ILIYOTOKEA KAHAMA MKOANI SHINYANGA HII LEO

Chanzo ni speed kali iliyosababisha bus kukosa muelekeo baada ya kuwa na kona mbele, na kusababisha bus kupinduka na watu wanne walifariki papo hapo na wengine 44 kujeruhiwa.

No comments:

Post a Comment