Msanii wa Hip hop Geez Mabovu amefariki dunia usiku wa saa mbili ya jana baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa miezi kadhaa.
Wiki kadhaa zilizopita Geez Mabovu alielekea kwao Iringa kwa matibabu zaidi na ndipo hali yake ilibadilika na kuwa mbaya hadi umauti ulipomkuta siku ya jana.
R.I.P Geez Mabovu
No comments:
Post a Comment