Wednesday, November 12, 2014

BREAKING NEWS: KIJANA ACHOMWA MOTO

Kijana ambaye jina lake halikuweza kufahamika amechomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kuwaibia abiria waliopata ajali siku ya leo huko Kahama.

No comments:

Post a Comment