Friday, January 16, 2015

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE YA KUAPISHWA RAIS WA MSUMBIJI


Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, ndugu Jakaya Mrisho Kikwete yupo nchini Msumbiji kwenye shughuli ya kuapishwa rais mpya wa nchi hiyo ndugu, Filipe Jacinto Nyusi. Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameongozana pamoja na mkewe bi, Salma Kikwete. Rais Jk pamoja na mkewe waliwasili kwenye mji mkuu wa nchi ya Mozambique( maputo), siku ya jumatano usiku wa tarhe 14, January 2015.

No comments:

Post a Comment