Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo, muda huu anazungumza na wazee mjini Dodoma.
Wazee hao waliomba mkutano ili waongee na mheshimiwa rais ili wampe asante kwa mambo aliyowafanyia kipindi hiki cha utawala wake. Kwenye hotuba iliyosomwa na wazee hao, wamemuomba mheshimiwa rais awasaidie kuwajengea hospitali ili wasiwe wanapata shida wakati wa kwenda hospitalini na pia kuwasaidia wamama wajawazito wasiwe wanajifungulia njiani.
No comments:
Post a Comment