Tuesday, November 4, 2014

JENGO JIPYA LA WORLD TRADE CENTER LAFUNGULIWA NCHINI AMERICA KWENYE MJI WA NEW YORK

Jengo jipya la kibiashara limefunguliwa jana huko nchini Marekani kwenye mji  wa New york. Jengo hilo ndo litakuwa la kwanza kwa urefu zaidi nchini Marekani. Jengo hilo limejengwa kwa muda wa miaka nane (8) ambapo siku ya jumamosi ndo walimaliza kulijenga kila kitu ambapo jana ndo walilikabidhi kwa mmiliki wa mjengo huo.
Jengo hilo lina ghorofa 104 na limegharimu dola billioni 3.8 za kimarekani ($3.8bn).

No comments:

Post a Comment