Thursday, November 6, 2014

LISTI YA MABADILIKO YA WAKUU WA MIKOA

Magesa Mulongo aondolewa Arusha na kupelekwa Mwanza.

Everist Ndikilo atolewa Mwanza kwenda Arusha.

Dkt Rehema Nchimbi kutoka Dodoma kwenda Njombe.

Chiku Galawa kutoka Tanga kwenda Dodoma.

Fatma Mwasa kutoka Tabora kwenda Geita.

Dkt Rajab Rutengwe anatoka Katavi kwenda Tanga.

Ludovick Mwananzila anatoka Lindi kwenda Tabora.

Magalula S Magalula anatoka Geita kwenda Lindi.

Watakaopangiwa kazi nyingine ni Kanali (Mst) Fabian Massawe wa Kagera, Dkt. Christine Ishengoma wa Iringa na Kanali Joseph Simbakalia wa Mtwara

Na aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Charles Pallangyo ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita na nafasi yake imechukuliwa na Dkt. Donan Mmbando, aliyekuwa Mganga Mkuu wa Serikali.

No comments:

Post a Comment