Kijana Sande Mrema aliyekuwa na tatizo la kuwa na kilo nyingi zilizokuwa zikifikia 250 na umri wa miaka 25 amefariki dunia usiku wa saa nne kuamkia leo jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa ndugu zake wanasema kwamba, "Sande amefariki dunia wakati bado taratibu za kuona ninamna gani atakavyoweza kupatiwa ndege kwa ajili yakwenda kupatiwa matibabu nchini India zilikuwa zilikuwa zikiendelea kufanyika miongoni mwa wanandugu".
No comments:
Post a Comment