Friday, November 7, 2014

WATU WAWILI WAFARIKI KWA AJALI YA HELICOPTER

Watu wawili (pilots) wamefariki baada ya helicopter yao kuanguka. Helicopter hiyo ambayo ni mali ya Idaho National Army Guard, imeanguka wakati mapilot hao walipokuwa wanafanya mazoezi yao ya kawaida.

Wanajeshi wa Idaho kwa sasa wanaomboleza kwa kupoteza kaka zao wawili kwenye jeshi hilo.

picha ifuatayo ni mfano wa helicopter iliyoanguka na kuua mapilot wawili wa kijeshi wa Idaho.

No comments:

Post a Comment