Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ameamua kulivua taji lake la umiss bila kushauriwa na mtu yoyote.
Mratibu mkuu wa mashindano ya miss Tanzania, Hashim Lundenga amesema kwamba, miss Tanzania Sitti Mtemvu ameamua kulivua taji kwasababu ya kuandamwa na maneno maneno ya vyombo vya habari.
Kamati ya miss Tanzania imesema kwamba, baada ya Sitti Mtemvu kulivua taji lake la miss Tanzania bhas atayevalishwa taji hilo ni mshindi wa pili Liliani Kamazima.
No comments:
Post a Comment