Thursday, November 6, 2014

MHESHIMIWA RAIS WA TANZANIA, JAKAYA MRISHO KIKWETE APAA MAREKANI JIONI HII

‪Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini jioni ya leo, Alhamisi Novemba 6, 2014, kwenda Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake. Rais Kikwete atakuwa Marekeni kwa muda wa siku kumi.

No comments:

Post a Comment