Tuesday, November 18, 2014

JOSE CHAMELEONE AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND

Msanii Jose Chameleone wa Uganda amekanusha habari zilizoandikwa mitandaoni kuwa amemuomba Diamond Platnumz kufanya collabo.

Jose Chameleone amesema kwamba, "Siko katika level ya kuomba collabo kihivyo, sio kwamba sina heshima yake (Diamond) ila hiyo sio sahihi na haiwezi kuwa hivyo, Nimekuwa nikifanya muziki kwa miaka 14 na mimi sio msanii mchanga wa kuhangaikia collabo".

No comments:

Post a Comment