Wednesday, November 12, 2014

BREAKING NEWS: BUS LA ABIRIA LAPINDUKA, WATU KADHAA WAFARIKI

Ajali mbaya imetokea huko Kahama baada ya basi la abiria la kampuni ya Wibomela kupinduka na kuuwa watu kadhaa.

Kwa mujibu wa baadhi ya mashuhuda wanasema kwamba bus hilo lilikuwa linaendeshwa kwa mwendo kasi, hivyo likakosa muelekeo na kupinduka.

Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa hospitalini kwa matibabu zaidi.

No comments:

Post a Comment