Mwanafunzi mmoja wa darasa la pili katika shule ya msingi Nyamikoma wilayani Butiani mkoani Mara, amefariki baada ya kugongwa na gari aina ya prado yenye namba ya usajili T 767 dbx kisha kupaa na kuvamia nyumba ya mashine katika eneo hilo la pida wilayani humo.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepono Amen.
No comments:
Post a Comment