Thursday, October 30, 2014

BONGO MOVIE KUPATA MSIBA MWINGINE

Tansia ya filamu Tanzania(Bongo Movie) limepata pigo lingine tena baada ya msanii mkongwe nchini Mzee Manento kufariki dunia. Msiba wa mkongwe huyu wa tansia ya filamu nchini utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kigogo/Mburahati jijini Dar Es Salaam.

Marehemu mzee Manento amefanya kazi na wasanii wengi nchini marehemu Kanumba, Pastor Miyamba na wengineo wengi tuu.
Pia alishiriki vizuri kwenye movie kama Dar to Lagos ambayo alifanya pamoja na nguli wa filamu nchini ambae nae ni marehemu Kanumba.
Mungu ailaze roho ya marehemu Mzee Manento Amen!!!!
R.I.P Mzee Manento

No comments:

Post a Comment