Saturday, November 22, 2014

BREAKING NEWS: JAMAA AKATWA SEHEMU YA KIUMENI BAADA YA KUFAMANIWA

Jamaa mmoja mkazi wa Lindi mwenye umri wa miaka 25 amekatwa sehemu yake ya siri baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mtu huko Lindi.

Kwa mujibu wa taarifa za majirani wa karibu wa jamaa huyo wamesema kwamba, usiku wa kuamkia juzi jirani yao ndo alipatwa na mkasa wa kukatwa sehemu yake ya siri ya kiumeni pindi mme wa mwanamke aliekuwa nae alipowafuma wakiwa chumbani wakifanya yao.

Majirani hao walimpeleka hospitalini jirani yao lakini madaktari walishindwa kumuunganisha kwa sababu jamaa alikuwa amekatwa sana(yote) sehemu yake hivyo jamaa kwa sasa hana tena sehemu yake ya kiumeni.

No comments:

Post a Comment